Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Maisha katika 50°C: 'Kuwait inakabiliwa na joto lisilohimilika'.
Iliyochapishwa
Mashariki ya Kati joto linapanda kwa kasi zaidi kuliko sehemu kubwa ya dunia na Kuwait inakabiliwa na halijoto isiyoweza kuhimilika.
Wakati joto likifikia 53C, raia watatu wa Kuwait - mtabiri wa hali ya hewa, mshawishi, na mtumishi wa umma aliyestaafu - wanapaza sauti. Wanahimiza kuwa Kuwait haipaswi kupata joto zaidi - na mmoja wao ana suluhisho la kutoa.
Huku mwaka wa 2021 ukiwa mwaka wa joto zaidi Duniani, Maisha katika 50°C yanaonesha athari za kibinadamu za mabadiliko ya tabia nchi.