Fahamu vifaa vya kisasa vinavyotumiwa na wadanganyifu wa mitihani India

Maelezo ya video, Fahamu vifaa vya kisasa vinavyotumiwa na wadanganyifu wa mitihani
Iliyochapishwa

Polisi katika jimbo la Rajasthankaskazini mwa Indian wanasema wametibua njama ya genge linalouza vifaa vilivyowezeshwa kiteknolojia kupitia kwa bluetooth ambavyo vinafichwa masikioni ili kuwasaidia watahiniwa kufanya udanganyifu katika mtihani. Walishika cjampali zilizokuwa na kadi ya simu vifaa vya kuweka masikioni vyenye.