'Nilimpeleka mwanangu shule za Binafsi kupitia kuuza uji mitaani'
Iliyochapishwa
Ni hadithi ya kusisimua ya Bi Basila Swai mkazi wa Jiji la Kibiashara la Dar Es Salaam ambaye hakutaka ugumu wa Maisha aliyoyapitia uwe kikwazo cha mwanae mpendwa kwenda shule na hatimaye Chuo kikuu.
Ungana na mwandishi wa BBC @frankmavura ambaye amememtembelea nyumbani kwake na kupata undani wa maisha yake na jinsi Biashara hii ya kuuza uji ilivyobadili ukurasa wa maisha yake na familia yake.