Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je ni kwa nini wakazi wa Mwanza hawaogopi kuishi chini ya mawe haya makubwa?
Iliyochapishwa
Kwa wasio wenyeji wa mji wa Mwanza huwa wanapigwa na butwaa wanapoona nyumba zilizojengwa milimani na nyingine zikiwa juu au chini ya mawe makubwa.
Wakazi wa mtaa wa Nyerere B jiji Mwanza wanasema zipo changamoto kadhaaa kwenye makazi hayo lakini wao wameshaozea na hawaoni tabu licha ya hatari ya kuporomokewa na majabali.
Mwandishi wa BBC Eagan Salla ametuandalia taarifa ifuatayo.