''Iwe unamudu au humudu gharama za mazishi..sisi hatujali'

Maelezo ya video, ''Iwe unamudu au humudu gharama za mazishi..sisi hatujali'
Iliyochapishwa

Kuzika miili huko Mashariki mwa Nigeria daima imekuwa suala la mvutano. Tofauti na Waislamu wengi kaskazini, watu katika eneo lenye Wakristo wengi mashariki mara nyingi hujitahidi kulipa ada ya sherehe za kuzika wapendwa wao.