Julius Charles: 'Kuna wanaozimia wakiniona na wengine hukimbia'
Iliyochapishwa
Waweza dhani kauli hii ni masihara ila ndio ukweli halisi anaokumbana nao kijana Julius Charles mkazi wa Jiji la Dar es salaam, Tanzania
Hakika safari yake ya maisha si lele mama iliyojaa huzuni, furaha na shubiri kwa wakati mmoja.
Ungana na mwandishi wetu Frank Mavura akiangazia maisha ya kijana huyu mwenye vipaji lukuki.