Rodwell Nkomazana: Kijana wa miaka 9 anayetibu uso wake baada ya kushambuliwa na fisi
Iliyochapishwa
Tarehe 9 Septemba kijana Rodwell Nkomazana alishambuliwa nje ya kanisa nchini Zimbabwe.
Alipata majeraha mabaya yalioweka maisha yake hatarini.
Hivi sasa kundi moja la madaktari waliojitolea nchini Afrika Kusini linang’ang’ana kuutibu uso wake ili kurudia hali yake.