Tanzania: Utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili
Iliyochapishwa
Tamasha la utamaduni wa kisukuma Bulabo ambalo hufanyika kila mwaka nchini Tanzania huleta pamoja shughuli za utamaduni na zile za kikristo
Tamasha hili ambalo huvutia mamia ya watu kila mwaka hutanguliwa na maandamano ya ekaristi takatifu kabla ya shughuli za kitamaduni kufanyika
Mzee Fumbuki Lubasa ambaye ni msaidizi wa Chifu Edward Makwaiya wa Busiya anasema Tamasha hilo bado lina umuhimu mkubwa
Eagan Salla akiwa mkoani mwanza alituandalia taarifa ifuatayo