Joyce Kiango: Mwalimu anayezidi kujipatia umaarufu Tanzania kwa mbinu anazotumia kufunza wanafunzi

Iliyochapishwa

Unafahamu kwamba namna ya kuwafundisha watoto inachangia sana katika uwelewa wao?

Mwalimu Joyce Kiango amepata umaarufu mkubwa katika mitandao ya kijamii nchini Tanzania kutokana na aina yake ya ufundishaji. Moja wapo ya njia yake ya ufundishaji ni kucheza sambamba na kuimba na watoto hao.

Alizungumza na BBC na kueleza nini siri ya ubunifu wake katika kufundisha.