Chanjo ya Corona: Nini kitahitajika kwa bara hili kuanza kutengeneza chanjo zake?

Iliyochapishwa

Afrika bado inakabiliwa na janga la awamu ya tatu la ugonjwa wa corona , huku maradhi mengi yakiripotiwa.

Lakini bara hili limepokea chanjo asilimia 3 pekee ya idadi ya watu wake, kwasababu bara hili awali limetegemea kupata chanjo hizo kutoka nje.

Hivyobsi tunauliza ni nini kitahitajika kwa bara hili kuanza kutengeneza chanjo zake?