Teknolojia ya kuondoa chumvi katika maji ya bahari yaanza kutumika pwani ya Kenya

Iliyochapishwa

‘Katika eneo la Likoni maji ni kama dhahabu’ Inakadiriwa kwamba zaidi ya nusuya idadi ya watu duniani watakabiliwa na tatizo la maji ifikiapo 2050.

Huku mataifa mengi na miji yakikabiliwa na tatizo la ukosefu wa bidhaa hiyo muhimu , teknolojia za kisasa zinatumika kutatua tatizo hilo la maji.

Kenya ni miongoni mwa mataifa machache ambayo yanatumia teknolojia ya kuondoa chumvi katika maji ya baharini ambayo inawaisaidia wakazi wengi wa pwani.

Imeandaliwa na: