Salim Kikeke: Nautazama mlima Kilimanjaro kwa jicho tofauti kabisa kwa sasa

Iliyochapishwa

Hatimaye mwandishi wa BBC Salim Kikeke amefanikiwa kufika katika kilele cha mlima kilimanjaro Uhuru.

Katika mahojiano amesema haikuwa kazi rahisi.