Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tazama jinsi dhoruba ya mchanga ‘ilivyomeza’ jiji kaskazini magharibi mwa China
Iliyochapishwa
Dhoruba ya mchanga iliyoinuka hadi urefu wa mita 100 (330ft) imeuacha mji mmoja kaskazini magharibi mwa China ukifunikwa na vumbi.
Video za Dunhuang zinaonyesha ukuta wa mchanga unaosakama polepole majengo na barabara katika mji huo .
Jiji hilo liko pembezoni mwa Jangwa la Gobi, ambalo linajulikana kwa hali kali ya hewa.