Je unaweza kuishi katika nyumba zinazoandamwa na mapepo?
Iliyochapishwa
Japan ni taifa ambalo watu wengi wanaamini mapepo.
Akira amekuwa akiuza nyumba zinazoandamwa na mapepo tangu 2014 na amesimamia takriban nyumba 500.
Nyumba hizi zinaongezeka licha ya idadi ndogo ya raia wa Japan inayotarajiwa kushuka kutoka milioni 127 hadi milioni 88 kufikia mwaka 2065.