Agnes Mba: Msichana wa miaka 9 anayetambaa kilomita moja kila siku kwenda shule

Maelezo ya video, Agnes Mba: Msichana wa miaka 9 ambaye anatambaa kilomita moja kila siku kwenda shule
Iliyochapishwa

Msichana wa miaka tisa Agnes Mba ambaye amekuwa akitambaa kwa kilomita moja hadi shule kila siku.

Alikishangaza Kijiji kizima alipoamka siku moja , na kuvalia sare za shule na kuanza kutambaa kwa magoti kwenda shule ili kutimiza ndoto yake.

'Tangu nilipozaliwa sijatembea lakini naamini kwamba siku moja nitatembea kama rafiki zangu' .

Producer: Favour Nunoo