Dimpho Mabuya: 'Nanyanyua uzani nikifeli mtihani'

Maelezo ya video, Dimpho Mabuya: 'Nanyanyua uzani nikifeli mtihani'
Iliyochapishwa

Soweto, viungani mwa Johannesburg, ni nyumbani kwa wanasoka na wanandondi wengi.

Lakini mtaa huo unatarajia kujipatia umaarufu katika mchezo mwingine - Olimpiki ya unyanyuaji uzani.

BBC Afrika ilitembelea eneo la mazoezi ya mchezo huo kwa kizazi kipya cha mabingwa Afrika Kusini - kufahamu kwanini mchezo huu umekuwa maarufu miongoni mwa wasichana.