Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kutana na 'haramia' aliye mbioni kuweka rekodi ya kubusu wanawake milioni moja
Iliyochapishwa
Ushawahi kufikiria ikiwa ni watu wangapi ambao umeshawabusu mpaka sasa? Nchini Kenya kuna bwana mmoja ambaye anajiita 'haramia wa mabusu' ambaye ameshawabusu wanawake zaidi ya elfu tano mpaka sasa, lengo lake ni kufikia milioni moja. Leo ni siku ya mabusu duniani na hii hapa ni simulizi yake: