Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Miaka 100 ya Chama cha Kikomyunisti China: Je chama hiki kilipataje madaraka?
Iliyochapishwa
Ifikiapo mwezi Julai , chama cha kikomyunisti cha China kitakuwa kikisherehekea miaka 100 tangu kilipoanzishwa.
Sera yake chini ya utawala wa Mao Zedong ilisababisha njaa na ghasia miaka ya 1950 na sitini .
Kifo chake kilisababisha muamko mpya – kupitia kizazi kinachoonesha picha za taifa hilo za China mpya huku ikiendelea kupiga hatua.
BBC ilizungumza na mtu mwenye sifa nyingi kuhusu mabadiliko makubwa alioyaona kufikia sasa.