Simba-bahari wavamia mji wa pwani ya Chile

Iliyochapishwa

Mamia ya simba-bahari yamevamia ufukwe wa mji mmoja huko Chile. Ni wanyama wakubwa wa bahari na wanaotisha. Japo baadi ya wananchi anatoka maeneo ya mbali kuwatazama, wengine wanawaogopa. Je ukukitana na mmoja utafanya nini?