Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Meghan Ghimifre: Msichana asiye na mikono anayehamasisha wengine Tiktok
Iliyochapishwa
Megha Ghimireana mamilioni ya watu wanaofuatilia video zake akicheza densi na kufanya shughuli zake za nyumbani baada ya kupoteza mikono yake katika ajali.
Msichana huyu raia wa Nepal aliye na umri wa miaka 23 alipigwa shoki na stima akiwa na miaka 18, na alilazimika kukatwa mikono yote miwili.
Anasema kwamba ‘anafurijika’ watu wanapomwambia kuwa video zake zinavyowapa motisha.