Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Lifahamu daraja lilojengwa na wahenga miaka 500 iliyopita
Iliyochapishwa
Nchini Peru, kuna mto unaofahamika kama Apurimac ambao umezungukwa na safu za milima. Wenyeji wa eneo hilo ni kabila la Incan. Wahenga wa kabila hilo walijenga daraja la kamba ili kuvuka mto huo miaka 500 iliyopita na mpaka leo bado linatumika. Hii ndiyo historia ya daraja hilo na ukarabati wake: