Jinsi wazo rahisi la mwanamke lilivyobadili maisha ya wanawake wenzake

Maelezo ya video, Gari linalookoa maisha ya akina mama na watoto
Iliyochapishwa

Baada ya kuchoshwa na kuwaona wanawake wakifariki kutokana na matatizo ya kujifungua, mwanamke wa Nigeria alipanga mpango rahisi, lakini ulio bora zaidi ili kuleta tofauti kwa wanawake na kwa jamii yake nzima.