Ni shupavu wa tiba ya kiasili na hata hospitali za umma zinamtegemea

Iliyochapishwa

Huko Magharibi mwa Tanzania, katika eneo la Kagera linasifika kwa tiba asili katika kutibu magonjwa mbalimbali.

Na hata ukipata ajali na ukavunjika, tiba asili inahusika katika tiba ya haraka.

Florian Kamugisha,maarufu kwa jina la Dr.Kamu amefanikiwa kutibu mamia ya watu licha ya kutowahi kusoma hata darasa moja na hata kusomea udaktari lakini huitwa na hospital za umma kufanya matibabu .

Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo;

(Makala hii ni maelezo ya habari na sio ushauri au maelekezo ya kutegemewa kimatibabu.Iwapo utahitaji msaada wa matibabu ,mshauri daktari au mamlaka husika ya huduma za kitaalam)