Fukwe za paradiso ya Venezuela zilizogeuka kuwa kitovu cha wahalifu

Maelezo ya video, Fukwe za paradiso ya Venezuela zilizogeuka kuwa kitovu cha wahalifu
Iliyochapishwa

Likifahamika kwa picha zenye mvuto zilizowekwa kwenye kadi za fukwe za barari ya Caribbean, jimbo la Barlovento lililopo kaskazini mwa Venezuela lilikua ni eneo bora kwa watu kwenda kujivinjari kwa mapumziko.

Lakini wakati mzozo wa uchumi wan chi ukiendelea, eneo hilo sasa limegeuka kuwa kitovu cha magenge ya wahalifu.

Mwandishi wa BBC Guillermo Olmo amekuwa akizungumza na wakazi wachache waliobakia pale.