Ifahamu jamii hii inayofanya biashara kwa kubadilishana bidhaa

Iliyochapishwa

Katika jamii ya Akpabuyo katika Jimbo la Cross River, Nigeria, watu hulipa wanachohitaji kwa kutumia walichonacho badala ya kutumia sarafu na noti. Wanasema ni sehemu ya utamaduni wao ambao wanataka kuuhifadhi.