Virusi vya corona: Kuongezeka kwa maambukizi ya juu India kuna maana gani kwa maeneo mengine ya dunia?

Maelezo ya video, Je aina mpya za corona ndio sababu ya ongozeko kubwa la maambukizi?
Iliyochapishwa

Maambukizi ya yamekuwa yakiongezeka kwa kiasi kikubwa katika wiki zilizopita. Ongezeko hilo limeleta kupanda kwa idadi ya vifo .... na aina mpya za virusi. Je vina umuhimu gani na hii ina maana gani kwa sehemu nyingine za dunia?