Je Pizza ya Zanzibar ina tofauti gani na ile ya nchini Itali?
Iliyochapishwa
Je unakifahamu chakula aina ya Pizza? Bila shaka chakula hiki si kigeni katika masikio yako ama katika mdomo wako kwa maana ya ladha yake.
Mara nyingi Pizza hujulikana kama chakula cha nchi za magharibi na chanzo chake kikisemekana kuwa nchini Italia, lakini umewahi kusikia Pizza ya kizanzibari?
Je hii Ni Pizza ya aina gani hasa na ina utofati kiasi gani na Pizza ya Italia?
Munira Hussein alitembelea Visiwani Zanzibar na kuandaa Taarifa ifuatayo.