Ramadhan: Fahamu faida za kitaalamu za tende
Iliyochapishwa
Katika mwezi huu wa Ramadhan, moja ya vyakula vinavyoliwa kwa wingi zaidi ni tende. Kwa nini tende ndiyo hutumiwa kufungua swaumu? Tumezungumza na Daktari Mwimbe Juma kutoka Tanzania ili kufahamu umuhimu wa tende kwa afya ya binadamu.