Wahandisi wanawake walioshinda vizuizi vya kijinsia nchini Ghana

Iliyochapishwa

Timu ya wahitimu wa uhandisi wanawake inakusudia kushinda vikwazo vya kijinsia katika tasnia ya uhandisi wa magari inayoongozwa na wanaume wa Ghana.

Belinda, Gifty na Erica wamepokea fursa zinazotolewa na Teksi ya Solar, huduma ya usafirishaji, kwa kuunga vyombo vya moto vinavyotumia nishati ya jua. Kwa hivyo ni nini kinachowasukuma?