Kwa nini idadi ya wagonjwa wa corona imepaa kutoka 20,000 mpaka 150,000 kwa siku India
Iliyochapishwa
Idadi ya wagonjwa wa corona nchini India imepaa kwa kasi katika wiki za hivi karibuni. Nchi hiyo kwa sasa inaripoti wagonjwa zaidi ya 150,000 kwa siku. Mwezi Januari na Februari walikuwa wakiripoti wagonjwa 20,000 tu. Je, nini kimetokea mpaka India kuingia katika janga wanalokabiliana nalo sasa?