Virusi vya Corona: Je, ipi ni chanjo bora zaidi ya corona?
Iliyochapishwa
Kuna chanjo nyingi za corona ambazo zinatumika kwa sasa duniani na watu wengi wanajaribu kupima ubora ili kufahamu umadhubuti wake.
Kulinganisha ubora wa chanjo si jambo jepesi, na linakanganya, lakini jibu la ipi bora lipo na linastaajabisha. Angalia video kwa ufafanuzi.