Prince Philip: Siku Mtawala wa Edinburgh aliyofunga ndoa na Malkia Elizabeth mwaka 1947
Iliyochapishwa
Kwa miongo saba, wawili hao wamekuwa bega kwa bega wakilea familia yao na kutekeleza majukumu ya nchi yao. Wakati wanafunga ndoa Elizabeth alikuwa Bintimfalme, mtawala akiwa Baba yake Mfalme George, na Philip alikuwa Luteni katika jeshi la wanamaji.