Prince Philip: Maisha katika picha

Duke of Edinburgh, 1977
Maelezo ya picha, Mtawala wa Edinburgh alizaliwa katika kisiwa cha Uigiriki cha Corfu mnamo 10 Juni 1921. Jamaa zake ni pamoja na wanafamilia wa familia za kifalme za Denmark, Ujerumani, Urusi na Uingereza.
Iliyochapishwa
1px transparent line
Philip as a young boy

Chanzo cha picha, Getty Images / Alamy

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Philip alikuwa mtoto wa pekee wa kiume wa Mwanamfalme Andrew wa Ugiriki na Bintimfalme Alice wa Battenberg.
Prince Philip of Greece, later Duke of Edinburgh, with his schoolmates at the MacJannet American school in St Cloud. The prince is the second boy from the left.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Philip alianza masomo yake huko Ufaransa katika shule ya MacJannet n huko St-Cloud na anaonekana hapa (wa pili kutoka kushoto) na wanafunzi wenzake. Alipokuwa na umri wa miaka saba alienda kuishi na jamaa zake wa Mountbatten Uingereza, ambapo alisoma shule ya maandalizi Surrey.
Prince Philip at Gordonstoun aged 16

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Baadaye alihudhuria shule ya bweni ya Gordonstoun, iliyoanzishwa na Kurt Hahn kaskazini mwa Uskochi, ambapo alifanya vyema kwenye michezo.
1px transparent line
Princess Elizabeth (third from left), with King George VI and Queen Elizabeth during a visit to the chapel at the Royal Naval College, Dartmouth, 23 July 1939

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Hii inaaminika kuwa ni mara ya kwanza Bintimfalme Elizabeth (wa tatu kutoka kushoto) na afisa mwanamaji mwanafunzi kikosi cha majini cha wakati huo akiitwa Mwanamfalme Philip wa Ugiriki na Denmark (mwenye kofia nyeupe upande wa kulia kabisa) walipigwa picha pamoja. Ilichukuliwa wakati wa ziara katika Chuo cha Royal Naval College, Dartmouth mnamo 23 Julai 1939.
Duke of Edinburgh, Royal Navy, Portsmouth

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Wakati wa Vita ya Pili ya Dunia , Mwanamfalame Philip alipigana akiwa mwanamaji kwenye meli ya vita ya HMS Valiant. Wakati meli za Italia zilinaswa kutoka Ugiriki mnamo 1941, Philip aliamuru taa za utaftaji zilizoangazia adui na baadaye akatajwa katika barua.
1px transparent line
The engagement of Princess Elizabeth to Lieutenant Philip Mountbatten

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Uchumba wake na Bintimfalme Elizabeth ulitangazwa rasmi mnamo Julai 1947.
1px transparent line
Princess Elizabeth (latterly Queen Elizabeth II) and Prince Philip, the Duke of Edinburgh, pose for their official wedding photo at Buckingham Palace, 20 November 1947

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Walifunga ndoa Novemba 20 mwaka huo.
1px transparent line
The Duke of Edinburgh jumping off the water skis

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 1951 mpiga picha alinasa picha hii wakati mtawala wa Edinburgh huko pwani ya Marmaris nchini Uturuki. Picha hii ilichukuliwa wakati wa kazi yake mwisho kama kamanda wa meli ya kivita ya HMS Magpie.
The Duke of Edinburgh at the Roehampton Club, where he was playing for Cowdray Park in the semi-finals of the Roehampton Cup

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Philip anaonekana hapa akicheza polo kwa timu ya Cowdray Park kwenye nusu fainali ya Kombe la Roehampton. Alikuwa mmoja wa wachezaji mahiri wa polo huko Uingereza.
1px transparent line
The Duke of Edinburgh batting during the 12 a side cricket match between the Duke of Edinburgh and the Duke of Norfolk

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Philip pia alikuwa mchezaji wa kriketi mahiri. Hapa timu yake, iliyoundwa na nyota wa zamani wa England, walikuwa wakipambana dhidi ya timu moja aliyoongozwa na Mtawala wa Norfolk, na wachezaji wa Sussex.
The Queen and Philip and their four children
Maelezo ya picha, Mtawala huyo na Malkia walikuwa na watoto wanne, (kutoka kushoto) Edward, Andrew, Anne na Charles, wameonyeshwa hapa miaka ya 1960.
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh during a visit to a farm on their Balmoral estate, to celebrate their Silver Wedding anniversary

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Wanandoa hawa wanaonekana hapa wakati wa ziara ya shamba lao la Balmoral, kusherehekea kumbukumbu yao ya harusi ya miaka 25.
The Queen and the Duke of Edinburgh, both wearing Maori Kahu-Kiwi (Kiwi feather cloaks) at Rugby Park in Gisborne, on the North Island of New Zealand when they attended the opening of the Royal New Zealand Polynesian Festival as their Silver Jubilee Tour continues

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mnamo 1977, mtawala huyo aliandamana na Malkia wakati akiadhimisha Jubilei yake ya miaka 25 . Wanaonekana hapa wote wakiwa wamevaa Maori Kahu-Kiwi (mavazi ya manyoya ya Kiwi) katika Uwanja wa Rugby huko Gisborne, Kisiwa cha Kaskazini mwa New Zealand walipohudhuria ufunguzi wa Tamasha la Royal New Zealand Polynesian mnamo Februari.
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh wave as Concorde flies by the Royal Yacht Britannia as the royal couple neared Barbados

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Baadaye mwaka huo, wanandoa hao waliipungia mkono wakati Concorde ilipopita pembeni ya boti yao ya Royal Yacht Britannia walipokaribia kisiwa cha Barbados.
The Union flag-draped coffin of Lord Mountbatten rests on a catafalque during the funeral service in Westminster Abbey. Royal mourners (l/r) Queen Elizabeth II, her husband The Duke of Edinburgh, Queen Elizabeth The Queen Mother and the Prince of Wales, 5 September 1979

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mnamo Agosti 1979 binamu wa Malkia, Lord Louis Mountbatten, aliuawa na mlipuko wa bomu la IRA kwenye mashua yake huko Ireland. Mtawala wa Edinburgh alirudi Uingereza baada ya kusikia habari hiyo kutoka Ufaransa ambako alikuwa akishiriki mashindano ya magari.
Duke of Edinburgh sitting atop an elephant while visiting the Kanha Game Reserve, 1983

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Alipenda uhifadhi wa mazingira na alikuwa kuwa rais wa kimataifa wa uliyokuwa Mfuko wa Wanyamapori Ulimwenguni,World Wildlife Fund.
The Prince of Wales with the Princess of Wales, baby Prince Harry, Prince William, the Duke of Edinburgh, Prince Edward, Queen Elizabeth II and Princess Anne on the balcony of Buckingham Palace, London to watch the fly past

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mnamo 1985, mtawala wa Edinburgh alizungukwa na familia yake, pamoja na wanawafalme wachanga William na Harry, wakati walipokusanyika kutazama ndege zikipaa nje ya Kasri la Buckingham baada ya sherehe za Trooping the Colour.
South African President Nelson Mandela, accompanied by the Duke of Edinburgh

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mnamo 1996 mtawala huyo alimsindikiza Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela wakati akijiandaa kukagua gwaride la heshima siku ya kwanza ya ziara yake ya kiserikali nchini Uingereza.
Queen Elizabeth II (right) and the Duke of Edinburgh (centre right) visit market stalls in Kingston town centre, during the Queen's Golden Jubilee visit to West London

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Philip alimuunga mkono Malkia kwa zaidi ya miaka 60 ya utawala wake, pamoja na sherehe za Jubilii ya Dhahabu (miaka 50 )mnamo 2002.
The Duke of Edinburgh attends the Presentation Receptions for The Duke of Edinburgh Gold Award holders, at the Palace of Holyroodhouse in Edinburgh, 2010

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mtawala huyo alianzisha mpango wa Tuzo ya Duke wa Edinburgh, ambayo inasaidia kukuza uwezo wa vijana, mnamo 1956. Hapa anafanya utani na washindi wa Tuzo ya Dhahabu ya Edinburgh huko Holyroodhouse mnamo 2010.
The Duke Edinburgh competes at the Sandringham Country show Horse Driving Trials held on the Norfolk Estate

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mtawala huyo aliendelea kushindana katika michezo katika siku za mwishi za maisha yake, pamoja na hafla hii ya kuendesha gari la kukokotwa huko Sandringham mnamo 2005.
Britain's Prince William kisses his wife Kate, Duchess of Cambridge, on the balcony of Buckingham Palace, after the wedding service, in London, 29 April 2011

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Maelfu walikusanyika nje ya Kasri la Buckingham kusalimu familia ya kifalme baada ya harusi ya mjukuu wa Mwanamfalme Philip, Prince William, na Catherine Middleton mnamo 2011.
Prince Philip, Duke of Edinburgh, waves as he stand onboard the Spirit of Chartwell during the Thames Diamond Jubilee Pageant

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Miezi 12 baadaye, mtawala huyo alionekana kuwa mzima kiafya wakati alifuatana na Malkia kwenye majahazi ya kifalme, Spirit of Chartwell, ambayo ilikuwa sehemu ya shindano la mto la Diamond Jubilee lililonyeshewa na mvua mnamo 3 Juni 2012. Yeye na Malkia walisimama kwa safari ndefu ya dakika 80, kwani walikuwa wakiongozana na boti 1,000 wakisafiri maili saba Mto Thames kwenda Tower Bridge. Walakini, mkuu huyo alilazwa hospitalini na maambukizo ya kibofu cha mkojo kabla ya tamasha la DDiamond Jubilee mnamo 4 Juni.
Princess Anne attends equestrian eventing with Prince Phillip the Duke of Edinburgh,

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Baada ya kupata nafuu, alikuwa na uwezo wa kutosha kuongozana na Bintimfalme Anne kutazama timu ya farasi ya Uingereza, mjukuu wake Zara Phillips, alikuwepo kushindana katika mashindano ya Olimpiki ya London ya 2012.
1px transparent line
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh as they attend a service at Westminster Abbey in central London to mark the 60th anniversary of the Queen's coronation

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo Juni 2013 mtawala huyo alihudhuria ibada ya kanisa huko Westminster Abbey kuadhimisha miaka 60 Malkia kuvikwa taji hilo.
Signing the visitors book at Hillsborough Castle, Belfast

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mwaka wa 2014 aliandamana na Malkia kwenye ziara ya Ireland Kaskazini. Anaonyeshwa hapa akisaini kitabu cha wageni huko Hillsborough Castle, Belfast.
Lighting beacon at Windsor Castle

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia Elizabeth II aliandamana na Mtawala wa Edinburgh aliwasha taa za kwanza zaidi ya 200 kuadhimisha miaka 70 ya Siku ya Ushindi wa Vita ya Dunia katika Kasri la Windsor.
The Duke of Edinburgh (left) and the Prince of Wales, during a visit to Poundbury, a new urban development on the edge of Dorchester, October 2016

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mtawala na mtoto wake Mwanamfalme Charles wakionekana kuambiana jambo la kuchekesha wakati wa ziara ya Poundbury, maendeleo ya mijini ukingoni mwa Dorchester, ambapo Malkia alizindua mnara wa mama yake.
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh with an elephant at ZSL Whipsnade Zoo, where they officially opened the zoo's new Centre for Elephant Care as part of a visit to Bedfordshire

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo Aprili 2017, Mwanamfalme Philip aliandamana na mkewe kufungua Kituo kipya cha Utunzaji wa Tembo katika bustani ya wanyama ya ZSL Whipsnade huko Bedfordshire. Mnamo Mei, hata hivyo alitangaza kwamba atajiondoa kutoka shughuli za umma akiwa na umri wa miaka 95, uamuzi ulioungwa mkono na Malkia.
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh observing a minute's silence at the start of a garden party at Buckingham Palace in London, 23 May 2017

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Pamoja na Malkia, Mwanamfalme Philip alisimama kwa dakika moja mwanzoni mwa sherehe ya bustani huko Buckingham Palace mnamo 23 Mei 2017 kwa heshima ya wale waliouawa kwenye tamasha la Ariana Grande huko Manchester
The Duke of Edinburgh during a visit to the headquarters of the Royal Auxiliary Air Force's (RAuxAF) 603 Squadron in Edinburgh

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Philip ndiye mwenza wa mtawala aliyehudumu kwa muda mrefu katika historia ya Uingereza.
line

Prince Philip (10 June 1921 - April 2021)

line

All photographs subject to copyright.