Vijana wa Kichina wanaweza kuachana na sera ya mtoto mmoja?

Iliyochapishwa

Sera ya mtoto mmoja China ilianza miaka ya 1980 kupunguza kasi ya ukuaji wa idadi ya watu.

Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa sawa kuruhusu familia 'kuwa na watoto wawili'.

Lakini, ikikabiliwa na idadi kubwa ya wazee, China inaweza kuruhusu hivi karibuni watu kuwa na familia kubwa. Kaskazini-mashariji waweza kuwa mkoa wa kwanza kuachana na sera hiyo, hata hivyo haijulikani ikiwa hii itahimiza familia za vijana kuwa na watoto zaidi.