Fahamu wosia wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Ali Hassan wakati wa kumuaga aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli
Iliyochapishwa
Ni zaidi ya wiki moja sasa tangu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipotangaza kuwa Hayati Rais John Pombe Magufuli amefariki dunia.
Na hapo jana kiongozi huyo aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipumzishwa katika nyumba yake ya milele huku huzuni, simanzi na majonzi vikitanda kote nchini humo.
Watu wa tabaka mbalimbali walipata fusra ya kuzungumza wakati wa kumuaga Rais John Pombe Magufuli miongoni mwao akiwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Ali Hassan Mwinyi katika hotuba iliyowaacha wengi wakitabasamu.
Sikiliza hotuba yake.