Kifo cha Rais John Pombe Magufuli: 'Hadhi nikarejeshewa .. nilisoma tu magazetini'

Maelezo ya video, Kifo cha Rais John Pombe Magufuli: 'Hadhi nikarejeshewa .. nilisoma tu magazetini'
Iliyochapishwa

Balozi Costa Ricky Mahalu ni miongoni mwa watu ambao wamekwazwa sana na kifo cha hayati Magufuli kwani Rais huyo wa zamani alimpa usaidizi wakati ambapo alihisi kuonewa .