Kifo cha Magufuli: Jinsi wakazi wa Chato wanavyomkumbuka mpendwa wao

Maelezo ya video, Kifo cha Magufuli: Jinsi wakazi wa Chato walivyomuaga mpendwa wao
Iliyochapishwa

Wakazi wa Chato waliwasili kwa wingi katika uwanja wa Magufuli kuuaga mwili wa kiongozi wao.

Wakazi wa Chato mkoani Geita nchini Tanzania walivumilia baridi kali ya asubuhi mapema ili kwenda kuuona kwa mara ya mwisho na kuuaga mwili wa Hayati John Pombe Magufuli, rais wa awamu ya tano nchini Tanzania aliyefariki kutokana na matatizo ya moyo.

Baadhi yao wamezungumza na BBC kuhusu namna wanavyomkumbuka.