Kifo cha Magufuli: Wakazi wa Mwanza wamzungumzia Hayati Magufuli

Iliyochapishwa

Wakazi wa jiji la Mwanza Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, wamepata nafasi ya kumuaga Hayati John Magufuli leo.

Wameeleza namna wanavyomkumbuka walipozungumza na BBC