Kifo cha John Magufuli: 'Aliagiza wali samaki, nikamhudumia nikamuwekea na mboga'

Maelezo ya video, Kifo cha John Magufuli: 'Magufuli aliagaiza wali samaki, nikamhudumia nikamuwekea na mboga
Iliyochapishwa

Anna Erasto Mhudumu wa mgahawa wa Victoria uliopo nje ya uwanja ndege jijini Mwanza asimulia alivyoshtushwa kumuona hayati Rais magufuli mgahawani kwao mwaka 2016 alipokuwa safarini kuelekea Chato kwa mapumziko