Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kifo cha Rais Magufuli:Tusiogope kila mmoja atakufa hata mimi nitakufa
Iliyochapishwa
Hayati Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akitoa hotuba katika moja ya kanisa katoliki ambalo alikuwa anasali.
Wakati wa uhai wake alisisiza kumuomba sana Mungu wakati huu wa Virusi vya Corona.