Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kifo cha Rais John Pombe Magufuli: Wakaazi wa Chato wamuomboleza
Iliyochapishwa
Wakazi wa mjini Chato ambapo ndipo anapotoka aliyekuwa rais wa Tanzania John Magufuli waelezea jinsi taarifa za msiba huo zilivyowashtua.