Kifo cha Rais John Pombe Magufuli: Tanzia ya rais wa awamu ya tano Tanzania

Maelezo ya video, Kifo cha rais John Pombe Magufuli: Tanzia ya rais wa awamu ya tano Tanzania
Iliyochapishwa

Mtoto wa mkulima, John Pombe Magufuli alichukua hatamu kama rais wa Tanzania kwa mara ya kwanza siku aliyotimiza miaka 56 na amekuwa kiongozi ambaye amevuta hisia mseto hasa, katika siku za hivi karibuni kutokana na msimamo wake kuhusu janga la Corona