Tazama Othman Masoud akila kiapo cha kuwa makamu wa rais wa Zanzibar
Iliyochapishwa
Makamu mpya wa rais wa kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania ameapishwa chini ya wiki mbili baada ya mtangulinzi wake kufarilki.
Othman Sharrif anachukua mahala pake Seif Sharrif Hamad aliyefariki tarehe 17 Februari akiwa na umri wa miaka 77.