Virusi vya corona: Waziri wa Afya Dorothy Gwajima atengeneza na kunywa tiba asili ya Tanzania

Iliyochapishwa

Waziri wa Afya nchini Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima amesema Tanzania haina mpango wa kuagiza chanjo dhidi ya virusi vya corona.