Dorothy Gwajima: Waziri wa Afya aonesha Jinsi ya kutengeneza tiba asili Tanzania

Maelezo ya video, Jinsi ya kutengeneza tiba asili Tanzania
Iliyochapishwa

Waziri wa afya nchini Tanzania Dorothy Gwajima anaonesha jinsi tiba asili ya Afya inavyotengenezwa nchini humo.

Akiongozana na naibu wake pamoja na mtaalamu wa tiba asili Kutoka NIMR ameonyesha jinsi tiba hiyo asili inavyotengezwa kwa kutumia tangawizi, vitunguu, limau na pilipili.