Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya Corona: Mwanamke anayetengeneza barakoa za wavaaji wa hijab na vilemba
Iliyochapishwa
Wakati janga la corona lilipoibuka, mwanamitindo wa Melbourne Manmeet Kair alianza kutengeneza barakoa kwa ajili ya watu wa jamii yake. Lakini kutokana na jinsi alivyomuona mume wake akihangaika kuvaa barakoa kuipitisha juu ya kilemba aliamua kutafuta suluhu ambayo imekua msaada kwa wengi.