Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Joyce Singano: Mtanzania awa Mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo ya Brady
Iliyochapishwa
Mtanzania Joyce Singano, ametwaa tuzo maarufu ya Brady Medal inayotolewa kwa wataalam watafiti wa miamba na kuwa mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo hiyo.
Tuzo hii ni kubwa zaidi miongoni mwa tuzo zinazotolewa kwa watafiti wa ukadiriaji wa miamba wanaotumia visukuku viumbe ambao wanapatikana ardhini.
Yeye ni mtaalam wa ukadiriaji wa miamba akifanya kazi katika sekta ya petroli na gesi. Amezungumza na Halima Nyanza