Jane Mugo: Kutana na malkia wa upelelezi nchini Kenya anayedai kuwindwa na wahalifu
Iliyochapishwa
Tasnia ya upelelezi nchini Kenya imekuwa ikikua kwa kasi. Jane Mugo, mpelelezi binafsi anayedai kusaidia mamia ya kesi, pamoja na hayo kazi hiyo imekua tata kwake. Mwandiahi wetu Sharon anamtazama mpelelezi huyu .