Jegal Sam ana ndoto ya kupiga kinanda mpaka atakapofika miaka 100

Iliyochapishwa

Jegal Sam amekuwa akipiga kinanda kwa miaka 82 na bado ni mahiri

Mzee huyo ambaye sasa ana miaka 96 amekuwa akipiga kinanda tangu alipokuwa na miaka 14.

Ilimpa kazi ambayo ilimuokoa kutoka kwenye kusajiliwa wakati wa vita vya Korea. Sasa amestaafu kwa muda mrefu, bado anafanya mazoezi kila siku - ikiwa tu nafasi ya kufanya kazi inapotokea.