Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Joe Biden: Rais mteule wa Marekani ni nani?
Iliyochapishwa
Baada ya moja kati ya chaguzi zilizokuwa na mvutano katika historia ya Marekani, Joe Biden hatimaye anachukua nafasi ya juu katika Ikulu ya nchi hiyo. Lakini tunafahamu nini kumhusu mtu huyu ambaye kuwa kwake kwenye siasa kwa miongo kadhaa kumeleta maafanikio, changamoto na changamoto binafsi za kimaisha?